Psalms 103:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimjulisha Mose mwongozo wake, aliwaonesha watu wa Israeli matendo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alimjulisha Musa njia zake, na watu wa Israeli matendo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimjulisha Mose mwongozo wake, aliwaonesha watu wa Israeli matendo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alimjulisha Mose njia zake, matendo yake kwa wana wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alijulisha Musa njia zake, na wana wa Israeli matendo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimjulisha Mose mwongozo wake, aliwaonesha watu wa Israeli matendo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alimjulisha Mose njia zake, wana wa Isiraeli aliwajulisha matendo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimujulisha Musa njia zake, aliwaonyesha watu wa Israeli matendo yake makubwa.