Psalms 103:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwenye huruma na rehema, si mwepesi wa hasira, amejaa upendo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mwenye huruma na mwenye utu, tena ni mwenye uvumilivu na mwenye upole mwingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mwenye rehema na huruma; ni muvumilivu na mwingi wa wema.