Psalms 104:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo zawapatia maji wanyama wote porini. Humo pundamwitu huzima kiu zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, punda-mwitu huzima kiu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zamnywesha kila mnyama wa kondeni; Punda mwitu huzima kiu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo zawapatia maji wanyama wote porini. Humo pundamwitu huzima kiu zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, punda mwitu huzima kiu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, punda-mwitu huzima kiu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zamnywesha kila mnyama wa porini; Kwayo punda mwitu huzima kiu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo zawapatia maji wanyama wote porini. Humo pundamwitu huzima kiu zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama wote wa porini wakapata ya kunywa hukomesha kiu humo akina punda milia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zamnywesha kila mnyama wa kondeni; Punda mwitu huzima kiu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo vinakunywesha wanyama wote wa pori, na humo punda wa pori wanatulizia kiu chao.