Psalms 104:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndege hujenga viota vyao katika miti ya hapo, hutua katika matawi yake na kuimba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katika matawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kandokando hukaa ndege wa angani; Kati ya matawi hutoa sauti zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndege hujenga viota vyao katika miti ya hapo, hutua katika matawi yake na kuimba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katikati ya matawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, huimba katikati ya matawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kandokando hukaa ndege wa angani; Na kuimba wakiwa katika matawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndege hujenga viota vyao katika miti ya hapo, hutua katika matawi yake na kuimba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndege wa angani hukaa kando ya maji, hupiga nyimbo zao wakikaa katika matawi ya miti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kandokando hukaa ndege wa angani; Kati ya matawi hutoa sauti zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndege wanajenga chicha zao katika miti ya hapo, wanatua katika matawi yake na kuimba.