Psalms 104:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Toka juu angani wainyeshea milima mvua, nayo dunia waitosheleza kwa baraka yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huinywesha milima toka orofa zake; Nchi imeshiba mazao ya kazi zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Toka juu angani wainyeshea milima mvua, nayo dunia waitosheleza kwa baraka yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huinyeshea milima kutoka orofa zake, dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huinywesha milima toka juu angani; Nchi umeitosheleza kwa mazao ya kazi zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Toka juu angani wainyeshea milima mvua, nayo dunia waitosheleza kwa baraka yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima ukainywesha maji yatokayo juu, ukaishibisha nchi mapato ya kazi zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huinywesha milima toka orofa zake; Nchi imeshiba mazao ya kazi zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Toka juu angani, unainyeshea milima mvua, nayo dunia unaishibisha kwa baraka yako.