Psalms 104:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waotesha nyasi kwa ajili ya mifugo, na mimea kwa matumizi ya binadamu ili naye ajipatie chakula chake ardhini:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa watu kulima, wajipatie chakula kutoka ardhini:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyameesha majani kwa makundi, Na maboga kwa matumizi ya mwanadamu; Ili atoe chakula katika nchi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waotesha nyasi kwa ajili ya mifugo, na mimea kwa matumizi ya binadamu ili naye ajipatie chakula chake ardhini:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa ajili ya watu kupanda, wajipatie chakula kutoka ardhini:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyafanya majani ya mifugo yaote, na mimea kwa watu kulima, wajipatie chakula kutoka ardhini:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huotesha majani kwa ajili ya wanyama, Na maboga kwa matumizi ya mwanadamu; Ili atoe chakula katika nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waotesha nyasi kwa ajili ya mifugo, na mimea kwa matumizi ya binadamu ili naye ajipatie chakula chake ardhini:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukachipuza majani, nyama wapate kula, nayo maboga, watu wayatumie; ndivyo, ulivyovitoa vilaji huku mchangani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyameesha majani kwa makundi, Na maboga kwa matumizi ya mwanadamu; Ili atoe chakula katika nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaotesha majani kwa ajili ya mifugo, na mimea kwa matumizi ya mwanadamu kusudi naye apate chakula chake toka udongo: