Psalms 104:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Divai ya kumchangamsha, mafuta ya zeituni ya kumfurahisha, na mkate wa kumpa nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, mafuta kwa ajili ya kung’arisha uso wake, na mkate wa kutia mwili nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na divai imfurahishe mtu moyo wake. Aung'aze uso wake kwa mafuta, Na mkate umburudishe mtu moyo wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
divai ya kumchangamsha, mafuta ya zeituni ya kumfurahisha, na mkate wa kumpa nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, mafuta kwa ajili ya kung'arisha uso wake na mkate wa kutia mwili nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, mafuta kwa ajili ya kung’arisha uso wake, na mkate wa kutia mwili nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na divai imfurahishe mtu moyo wake. Aung'aze uso wake kwa mafuta, Na mkate umburudishe mtu moyo wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Divai ya kumchangamsha, mafuta ya zeituni ya kumfurahisha, na mkate wa kumpa nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hata mvinyo zifurahishazo mioyo ya watu, nayo mafuta ya kuzing'aza nyuso zao, nayo mikate itiayo nguvu mioyoni mwa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na divai imfurahishe mtu moyo wake. Aung’aze uso wake kwa mafuta, Na mkate umburudishe mtu moyo wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
apate divai ya kumuchangamusha, mafuta ya muzeituni ya kumwangarisha, na mukate wa kumupa nguvu.