Psalms 104:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo, ndege hujenga viota vyao; korongo hufanya maskani yao katika misonobari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndimo ndege wafanyamo vitundu vyao, Na korongo, misunobari ni nyumba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo, ndege hujenga viota vyao; korongo hufanya maskani yao katika misonobari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humo ndege hufanya viota vyao, korongo ana nyumba yake kwenye msunobari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Humo ndege hujenga viota vyao, Korongo, anayo makao katika misonobari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo, ndege hujenga viota vyao; korongo hufanya maskani yao katika misonobari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndimo, ndege wanamojenga viota vyao, nazo nyumba zao makorongo ziko katika mivinje.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndimo ndege wafanyamo vitundu vyao, Na korongo, misunobari ni nyumba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo, ndege wanajenga chicha zao, korongo wanafanya makao yao katika misunobari.