Psalms 104:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milima mirefu ni makao ya mbuzimwitu; na pelele hupata maficho yao miambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu; majabali ni kimbilio la pelele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu, Na magenge ni kimbilio la wibari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milima mirefu ni makao ya mbuzimwitu; na pelele hupata maficho yao miambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, majabali ni kimbilio la pelele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, majabali ni kimbilio la pelele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu, Na magenge ni kimbilio lao wibari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milima mirefu ni makao ya mbuzimwitu; na pelele hupata maficho yao miambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye milima mikubwa ndiko, minde wanakokaa, magenge ni kimbilio lao wale pelele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu, Na magenge ni kimbilio la wibari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milima mirefu ni makao ya mbuzi wa pori; makimbilio ya sungura wa pori ni chini ya mawe.