Psalms 104:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeuumba mwezi utupimie majira; jua nalo lajua wakati wa kutua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwezi hugawanya majira, na jua hutambua wakati wake wa kutua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliufanya mwezi kwa ajili ya nyakati, Jua latambua kuchwa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeuumba mwezi utupimie majira; jua nalo lajua wakati wa kutua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwezi hugawanya majira, na jua hutambua wakati wake wa kutua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwezi hugawanya majira, na jua hutambua wakati wake wa kutua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliufanya mwezi kwa ajili ya nyakati, Jua latambua kuchwa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeuumba mwezi utupimie majira; jua nalo lajua wakati wa kutua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliumba mwezi wa kujulisha vilimo, jua hupajua pake pa kuchwea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliufanya mwezi kwa ajili ya nyakati, Jua latambua kuchwa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeumba mwezi kwa kutupimia nyakati, nalo jua linalojua wakati wa kutua.