Psalms 104:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umejizungushia mwanga kama vazi, umezitandaza mbingu kama hema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi, amezitandaza mbingu kama hema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umejivika nuru kama vazi; Umezitandika mbingu kama pazia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umejizungushia mwanga kama vazi, umezitandaza mbingu kama hema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi, amezitandaza mbingu kama hema
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi, amezitandaza mbingu kama hema
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umejivika nuru kama vazi; Umezitandika mbingu kama pazia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umejizungushia mwanga kama vazi, umezitandaza mbingu kama hema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umejivika mwanga, kama ni kanzu, ukazitanda mbingu kama nguo za hema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umejivika nuru kama vazi; Umezitandika mbingu kama pazia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umejifunika mwangaza kama kanzu, umekunjua mbingu kama hema;