Psalms 104:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasimba hunguruma wapate mawindo, humngojea Mungu awape chakula chao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simba hunguruma kwa mawindo yao, na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana-simba hunguruma wakitaka mawindo, Ili kutafuta chakula chao kwa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wanasimba hunguruma wapate mawindo, humngojea Mungu awape chakula chao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simba hunguruma kwa mawindo yao, na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simba hunguruma kwa mawindo yao, na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanasimba hunguruma wakitaka mawindo, Wakitafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasimba hunguruma wapate mawindo, humngojea Mungu awape chakula chao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa simba hunguruma wakikosa nyama wa kukamata; ndivyo, wanavyomwuliza Mungu chakula chao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana-simba hunguruma wakitaka mawindo, Ili kutafuta chakula chao kwa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
simba wakali wananguruma wanapokosa mawindo yao, wanakungojea wewe Mungu uwape chakula chao.