Psalms 104:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua lichomozapo hurudi makwao, na kujipumzisha mapangoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua huchomoza, nao huondoka, hurudi na kulala katika mapango yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jua lachomoza, wanakwenda zao, Na kujilaza mapangoni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua lichomozapo hurudi makwao, na kujipumzisha mapangoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jua huchomoza, nao huondoka kwa kunyata, hurudi na kulala katika mapango yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jua huchomoza, nao huondoka, hurudi na kulala katika mapango yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jua linapochomoza, wanakwenda zao, Na kujilaza mapangoni mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua lichomozapo hurudi makwao, na kujipumzisha mapangoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua linapokucha, wale hurudi kwao mapangoni mwao, wapate kulala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jua lachomoza, wanakwenda zao, Na kujilaza mapangoni mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jua linapopanda, wanarudi kwao, na kujipumzisha ndani ya mapango yao.