Psalms 104:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo naye binadamu huenda kwenye shughuli zake; na kufanya kazi zake mpaka jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wanadamu wanaenda kazini zao, katika kazi zao hadi jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu atoka kwenda zake kazini, Na kwenye utumishi wake mpaka jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo naye binadamu huenda kwenye shughuli zake; na kufanya kazi zake mpaka jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mwanadamu hutoka nje na kwenda kazini kwake, katika kazi yake mpaka jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mwanadamu huenda kazini mwake, katika kazi yake mpaka jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu atoka kwenda zake kazini, Na kwenye utumishi wake mpaka jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo naye binadamu huenda kwenye shughuli zake; na kufanya kazi zake mpaka jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hutokea watu kwenda kazini, watumikie huko kazini mpaka jioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu atoka kwenda zake kazini, Na kwenye utumishi wake mpaka jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mwanadamu naye anaenda kwenye kazi zake; naye anatumika mpaka magaribi.