Psalms 104:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, umetenda mambo mengi mno! Yote umeyafanya kwa hekima! Dunia imejaa viumbe vyako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, jinsi matendo yako yalivyo mengi! Kwa hekima ulizifanya zote, dunia imejaa viumbe vyako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa mali zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, umetenda mambo mengi mno! Yote umeyafanya kwa hekima! Dunia imejaa viumbe vyako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, jinsi gani zilivyo nyingi kazi zako! Kwa hekima ulizifanya zote, dunia imejaa viumbe vyako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! Kwa hekima ulizifanya zote, dunia imejaa viumbe vyako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, umetenda mambo mengi mno! Yote umeyafanya kwa hekima! Dunia imejaa viumbe vyako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliyoyafanya, Bwana, ni makuu, tena ni mengi! Yote pia uliyafanya kwa ubingwa ulio wa kweli, hivyo nchi ikapata kijana viumbe vyako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa mali zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, matendo yako ni mengi sana! Umeyafanya kwa hekima yote! Dunia imejaa viumbe vyako!