Psalms 104:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbali kule iko bahari - kubwa na pana, ambamo kumejaa viumbe visivyohesabika, viumbe hai, vikubwa na vidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pale kuna bahari, kubwa na yenye nafasi tele, imejaa viumbe visivyo na idadi, vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai vidogo kwa vikubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbali kule iko bahari - kubwa na pana, ambamo kumejaa viumbe visivyohesabika, viumbe hai, vikubwa na vidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pale iko bahari, kubwa na yenye nafasi tele, imejaa viumbe visivyo na idadi, vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pale kuna bahari, kubwa na yenye nafasi tele, imejaa viumbe visivyo na idadi, vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bahari iko kule, kubwa na pana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai wakubwa kwa wadogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbali kule iko bahari - kubwa na pana, ambamo kumejaa viumbe visivyohesabika, viumbe hai, vikubwa na vidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ni bahari iliyo kubwa na pana pande zote; humo ndimo, wanamofurika wadudu wasiohesabika kabisa, tena nyama wadogo nao wakubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai vidogo kwa vikubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbali kule kuna bahari kubwa na pana, ambamo kumejaa viumbe visivyokuwa na hesabu, viumbe vizima, vikubwa na vidogo.