Psalms 104:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaokota chochote kile unachowapa; ukifumbua mkono wako wanashiba vinono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati unawapa, wanakikusanya; unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe huwapa, Wao wanakiokota; Wewe waukunjua mkono wako, Wao wanashiba mema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaokota chochote kile unachowapa; ukifumbua mkono wako wanashiba vinono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe huwapa, Wao wanakiokota; Wewe waukunjua mkono wako, Wao wanashiba mema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaokota chochote kile unachowapa; ukifumbua mkono wako wanashiba vinono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiwapa, hukusanya, tena hulimbika, unapokifumbua kiganja chako, hushiba mema yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe huwapa, Wao wanakiokota; Wewe waukunjua mkono wako, Wao wanashiba mema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaokota kitu chochote unachowapa; ukiwafungulia mukono, wanashiba vyakula vizuri.