Psalms 104:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
umejenga makao yako juu ya maji ya mbingu. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako; waruka juu ya mabawa ya upepo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. Huyafanya mawingu kuwa gari lake la vita, na hupanda kwenye mabawa ya upepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuziweka nguzo za orofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
umejenga makao yako juu ya maji ya mbingu. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako; waruka juu ya mabawa ya upepo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. Huyafanya mawingu kuwa gari lake kubwa zuri, na hupanda kwenye mbawa za upepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, na hupanda kwenye mbawa za upepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuziweka nguzo za ghorofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
umejenga makao yako juu ya maji ya mbingu. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako; waruka juu ya mabawa ya upepo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makao yake ya juu aliyawekea misingi ya majini, huyatumia mawingu kuwa gari lake, juu ya mabawa ya upepo hujiendea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuziweka nguzo za orofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
umejenga makao yako katika mbingu juu ya maji. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako nawe unatembea katika anga.