Psalms 104:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu udumu milele; Mwenyezi-Mungu apendezwe na matendo yake mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utukufu wa Mwenyezi Mungu na udumu milele, Mwenyezi Mungu na azifurahie kazi zake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utukufu wa Bwana na udumu milele; Bwana na ayafurahie matendo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu udumu milele; Mwenyezi-Mungu apendezwe na matendo yake mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu wa BWANA na udumu milele, BWANA na azifurahie kazi zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utukufu wa bwana na udumu milele, bwana na azifurahie kazi zake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utukufu wa BWANA na udumu milele; BWANA na ayafurahie matendo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu udumu milele; Mwenyezi-Mungu apendezwe na matendo yake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wake Bwana ni wa kale na kale, naye Bwana huzifurahia kazi, alizozifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utukufu wa BWANA na udumu milele; BWANA na ayafurahie matendo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wa Yawe unadumu hata milele; Yawe anapendezwa na matendo yake mwenyewe.