Psalms 104:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamsifu Mungu wangu muda wote niishipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamwimbia Mwenyezi Mungu maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamwimbia Bwana maadamu ninaishi; Nitamshangilia Mungu wangu nikiwa hai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamsifu Mungu wangu muda wote niishipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamwimbia BWANA maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamwimbia bwana maisha yangu yote; nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamwimbia BWANA maadamu ninaishi; Nitamshangilia Mungu wangu nikiwa hai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamsifu Mungu wangu muda wote niishipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zangu zote za kuwapo nitamwimbia Bwana, nitampigia Mungu wangu shangwe nikingali nipo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamwimbia BWANA maadamu ninaishi; Nitamshangilia Mungu wangu nikiwa hai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamwimbia Yawe maisha yangu yote; nitamusifu Mungu wangu muda wote nitakaoishi.