Psalms 104:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyimbo zangu, nilizozitunga, na zimpendeze! Mimi ninayemfurahia, ndiye Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upendezwe na hayo mashairi yangu, ee Yawe, maana wewe ndiye furaha yangu.