Psalms 104:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye dhambi waondolewe duniani, pasiwe na waovu wowote tena! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu Mwenyezi Mungu. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye dhambi waangamizwe katika nchi, Watendao ubaya wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye dhambi waondolewe duniani, pasiwe na waovu wowote tena! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, Msifu BWANA. Mhimidini BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wenye dhambi na watoweke katika dunia na waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu bwana. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye dhambi waangamizwe katika nchi, Watendao ubaya wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye dhambi waondolewe duniani, pasiwe na waovu wowote tena! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakosaji sharti wamalizwe, wasiwepo nchini tean! Mtukuze Bwana, roho yangu! Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye dhambi waangamizwe katika nchi, Watendao ubaya wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye zambi wote waondolewe katika dunia, waovu wote wasikuwe tena! Umusifu Yawe, ee nafsi yangu! Haleluia!