Psalms 104:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waufanya upepo kuwa mjumbe wako, moto na miali yake kuwa watumishi wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huzifanya pepo kuwa wajumbe wake, na miali ya moto kuwa watumishi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huwafanya malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa moto wa miali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waufanya upepo kuwa mjumbe wako, moto na miali yake kuwa watumishi wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hufanya pepo kuwa wajumbe wake, miali ya moto watumishi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huzifanya pepo kuwa wajumbe wake, miali ya moto watumishi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huwafanya malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa moto wa miali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waufanya upepo kuwa mjumbe wako, moto na miali yake kuwa watumishi wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwatumia malaika zake kuwa upepo, nao watumishi wake kuwa mioto iwakayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huwafanya malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa moto wa miali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaufanya upepo kuwa mujumbe wako, moto na ndimi zake kuwa watumishi wako.