Psalms 104:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliifunika dunia kwa bahari kama vazi, na maji yakaimeza milima mirefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, maji yalisimama juu ya milima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uliifunika kwa vilindi kama kwa vazi, Maji yalikuwa yakisimama juu ya milima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliifunika dunia kwa bahari kama vazi, na maji yakaimeza milima mirefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, maji yalisimama juu ya milima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, maji yalisimama juu ya milima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uliifunika kwa vilindi kama kwa vazi, Maji yalikuwa yakisimama juu ya milima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliifunika dunia kwa bahari kama vazi, na maji yakaimeza milima mirefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukaivika vilindi vya maji, kama ni nguo, nako vileleni kwenye milima juu kulikuwa na maji, nayo yalikuwa yametulia kuko huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uliifunika kwa vilindi kama kwa vazi, Maji yalikuwa yakisimama juu ya milima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliifunika dunia kwa bahari kama nguo, na maji yakaimeza milima mirefu.