Psalms 104:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulipoyakaripia, maji yalikimbia, yaliposikia ngurumo yako yalitimka mbio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia, kwa sauti ya radi yako yakatoroka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kukemea kwako yakakimbia, Kwa sauti ya radi yako yakaenda zake kasi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulipoyakaripia, maji yalikimbia, yaliposikia ngurumo yako yalitimka mbio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia, kwa sauti ya radi yako yalikimbia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia, kwa sauti ya radi yako yakatoroka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kukemea kwako yakakimbia, Kwa sauti ya radi yako yakaenda zake kasi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulipoyakaripia, maji yalikimbia, yaliposikia ngurumo yako yalitimka mbio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipoyakemea, yakakimbia, ulipoyapigia sauti za ngurumo, yakapiga mbio kujiendea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kukemea kwako yakakimbia, Kwa sauti ya radi yako yakaenda zake kasi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulipoyakaripia, yalikimbia; yaliposikia ngurumo yako, yalitelemuka mbio.