Psalms 104:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaliporomoka toka milimani hadi mabondeni, mpaka pale mahali ulipoyatengenezea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yakapanda milima, yakateremka mabondeni, hadi mahali pale ulipoyakusudia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakapanda milima, yakatelemka mabondeni, Mpaka mahali ulipoyatengenezea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaliporomoka toka milimani hadi mabondeni, mpaka pale mahali ulipoyatengenezea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yakapanda milima, yakatelemka mabondeni, mpaka mahali pale ulipoyakusudia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yakapanda milima, yakateremka mabondeni, hadi mahali pale ulipoyakusudia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakapanda milima, yakateremka mabondeni, Mpaka mahali ulipoyatengenezea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaliporomoka toka milimani hadi mabondeni, mpaka pale mahali ulipoyatengenezea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima ikainukia kwendelea juu, mabonde yakatelemkia hapohapo, ulipoyatengenezea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakapanda milima, yakatelemka mabondeni, Mpaka mahali ulipoyatengenezea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yaliporomoka toka milima mpaka katika mabonde, mpaka pahali ulipoyatengenezea.