Psalms 104:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliyawekea hayo maji mipaka, yasije yakaifunika tena dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka, kamwe hayataifunika dunia tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeweka mpaka yasiupite, Wala yasirudi kuifunikiza nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliyawekea hayo maji mipaka, yasije yakaifunika tena dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka, kamwe hayataifunika dunia tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka, kamwe hayataifunika dunia tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeweka mpaka yasiupite, Wala yasirudi kuifunikiza nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliyawekea hayo maji mipaka, yasije yakaifunika tena dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukakata mipaka, maji yasiipite, yasirudi tena kuifunika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeweka mpaka yasiupite, Wala yasirudi kuifunikiza nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliyawekea hayo maji mipaka yasiyoweza kutambuka, kusudi yasifunike tena dunia.