Psalms 105:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alizusha njaa nchini mwao, akaharibu chakula chao chote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaiita njaa juu ya nchi na kuharibu chakula chao chote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiita njaa iijilie nchi, Akakiharibu chakula chote walichokitegemea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alizusha njaa nchini mwao, akaharibu chakula chao chote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaiita njaa juu ya nchi na kuharibu chakula chao chote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaiita njaa juu ya nchi na kuharibu chakula chao chote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasababisha njaa katika nchi, Akakiharibu chakula chote walichokitegemea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alizusha njaa nchini mwao, akaharibu chakula chao chote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaita njaa, ije kuziingia nchi za watu, akaivunja miti yote izaayo vilaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiita njaa iijilie nchi, Akakiharibu chakula chote walichokitegemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alileta njaa katika inchi yao, akafunga njia zao zote za kupata chakula.