Psalms 105:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Mwenyezi Mungu lilipomthibitisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya Bwana ilimjaribu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mpaka yale aliyotangulia kusema yalipotimia, mpaka neno la BWANA lilipomjaribu na kumthibitisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la bwana lilipomthibitisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hadi wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya BWANA ilimjaribu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka siku ile, lilipotimia lile neno lake; naye alikuwa ameng'azwa kwa kuyeyushwa na maneno yake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya BWANA ilimjaribu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mpaka kile alichotabiri kilipotimia. Neno la Yawe likahakikisha kwamba alikuwa na haki.