Psalms 105:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme alituma watu akamfungua, Mkuu wa watu akamwachia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme alituma akamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme alituma watu na kumfungua, Mkuu wa watu akamwachilia huru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme alipotuma, akamfungua; mtawala makabila ya watu akamtoa kifungoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme alituma watu akamfungua, Mkuu wa watu akamwachia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mutawala wa mataifa akamwachilia huru.