Psalms 105:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu aliwafanya watu wake kuzaana sana; aliwafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawajalia watu wake wazae sana, Akawafanya kuwa hodari kuliko watesi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawajalia watu wake wazae sana, Akawafanya kuwa hodari kuliko watesi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akawapa wao walio ukoo wake kuzaa sana, akawatia nguvu kuliko wao waliowasonga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawajalia watu wake wazae sana, Akawafanya kuwa hodari kuliko watesi wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko waadui zao.