Psalms 105:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwafanya Wamisri wawachukie watu wake, wakawatendea hila watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawageuza moyo wawachukie watu wake, Wakawatendea hila watumishi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwafanya Wamisri wawachukie watu wake, wakawatendea hila watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndiye aliyeigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawageuza moyo wawachukie watu wake, Wakawatendea hila watumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwafanya Wamisri wawachukie watu wake, wakawatendea hila watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaigeuza mioyo yao wale, wawachukize walio ukoo wake, wakawaendea watumishi wake kwa udanganyifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawageuza moyo wawachukie watu wake, Wakawatendea hila watumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwafanya Wamisri wawachukie watu wake, wakawatendea watumishi wake vibaya.