Psalms 105:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamtuma Mose mtumishi wake, akamtuma na Aroni mteule wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamtuma Musa mtumishi wake, pamoja na Haruni, aliyemchagua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamtuma Musa, mtumishi wake, Na Haruni ambaye amemchagua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamtuma Mose mtumishi wake, akamtuma na Aroni mteule wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, ambaye alikuwa amemchagua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamtuma Musa mtumishi wake, pamoja na Haruni, aliyemchagua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamtuma Musa, mtumishi wake, Na Haruni ambaye amemchagua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamtuma Mose mtumishi wake, akamtuma na Aroni mteule wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipomtuma mtumishi wake, yule Mose, naye Haroni, aliyemchagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamtuma Musa, mtumishi wake, Na Haruni ambaye amemchagua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akamutuma Musa mutumishi wake, akamutuma pamoja na Haruni muchaguliwa wake.