Psalms 105:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alituma giza, kukafunga giza, Wala hawakuyaasi maneno yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alituma giza na nchi ikawa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alituma giza, na kufanya nchi kuwa na giza, Wakayaasi maneno yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatuma giza, likaiguia nchi yao, nao hawakukataa kuyatii maneno yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alituma giza, kukafunga giza, Wala hawakuyaasi maneno yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akaleta giza juu ya inchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake.