Psalms 105:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alisema, yakaja makundi ya inzi, na viroboto katika nchi yao yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alisema, kukaja makundi ya mainzi, Na chawa mipakani mwao mwote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alisema, yakaja makundi ya mainzi, na viroboto katika nchi yao yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alisema, yakaja makundi ya mainzi, na viroboto katika nchi yao yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alisema, kukaja makundi ya mainzi, Na chawa katika nchi yao yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbung'o wakaja papo hapo, aliposema, katika mipaka yao yote wakaingia nao mbu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alisema, kukaja makundi ya mainzi, Na chawa mipakani mwao mwote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akaamuru, kukatokea makundi ya mainzi, na imbu katika inchi yote.