Psalms 105:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye miali ya radi nchini yao yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Badala ya mvua aliwapa mvua ya mawe, Na moto wa miali katika nchi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye umeme wa radi katika nchi yao yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye umeme wa radi nchini yao yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Badala ya mvua aliwapa mvua ya mawe, Na umeme uliomulika ghafla katika nchi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penya mvua zao aliwanyeshea mvua ya mawe pamoja na mioto iliyoichoma nchi yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Badala ya mvua aliwapa mvua ya mawe, Na moto wa miali katika nchi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa pahali pa mvua akawatumia mvua ya mawe, na radi iliyounguza inchi yao yote;