Psalms 105:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakaitafuna mimea yote katika nchi, wakayala mazao yao yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakala kila jani katika nchi yao, wakala mazao ya ardhi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaila miche yote ya nchi yao, Wakayala matunda ya ardhi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakaitafuna mimea yote katika nchi, wakayala mazao yao yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakala kila kitu cha kijani kibichi katika nchi yao, wakala mazao ya ardhi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakala kila jani katika nchi yao, wakala mazao ya ardhi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaila miche yote ya nchi yao, Wakayala matunda ya ardhi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakaitafuna mimea yote katika nchi, wakayala mazao yao yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakala majani yote katika nchi yao. wakala navyo vilaji vyote mashambani kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaila miche yote ya nchi yao, Wakayala matunda ya ardhi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakatafuna mimea yote katika inchi, wakakula mazao yao yote.