Psalms 105:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka makabila yao aliyejikwaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawatoa hali wana fedha na dhahabu, Katika kabila zao asiwepo mwenye kukwaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka katika kabila zao aliyejikwaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka kabila zao aliyejikwaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawatoa wakiwa na fedha na dhahabu, Katika makabila yao asiwepo mwenye kujikwaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuwapatia fedha na dhahabu, ndipo, alipowatoa, tena katika koo zao hakuwamo aliye mwenye kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawatoa hali wana fedha na dhahabu, Katika kabila zao asiwepo mwenye kukwaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaondoa watu wa Israeli katika inchi, wakikuwa na feza na zahabu; wala hakuna hata mumoja wao aliyejikwaa.