Psalms 105:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alitandaza wingu juu ya watu wake, na moto ili kuwaangazia usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alitandaza wingu liwe funiko, Na moto utoe nuru usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alitandaza wingu juu ya watu wake, na moto ili kuwaangazia usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitandaza wingu kama kifuniko na moto kuwamulikia usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alitandaza wingu liwe kifuniko, Na moto ili uwaangazie usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alitandaza wingu juu ya watu wake, na moto ili kuwaangazia usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatanda wingu, liwafunike, kisha liwe lenye moto, uwamulikie usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alitandaza wingu liwe funiko, Na moto utoe nuru usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alitandaza wingu juu ya watu wake, na moto kusudi uwaangazie usiku.