Psalms 105:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipasua mwamba maji yakabubujika; yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaufunua mwamba, kukabubujika maji, Yakapita pakavuni kama mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipasua mwamba maji yakabubujika; yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaufunua mwamba, kukabubujika maji, Yakapita jangwani kama mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipasua mwamba maji yakabubujika; yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akafungua mwamba, maji yakabubujika, yakajiendea nyikani kama mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaufunua mwamba, kukabubujika maji, Yakapita pakavuni kama mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipasua jiwe maji yakabubujika; yakatiririka katika jangwa kama muto.