Psalms 105:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Ibrahimu mtumishi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana alilikumbuka neno lake takatifu, Na Ibrahimu, mtumishi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Ibrahimu mtumishi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alilikumbuka neno lake takatifu, Na Abrahamu, mtumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alilikumbuka Neno lake lililo takatifu, alilomwambia mtumishi wake Aburahamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana alilikumbuka neno lake takatifu, Na Ibrahimu, mtumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikumbuka ahadi yake takatifu aliyomupa Abrahamu mutumishi wake.