Psalms 105:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapa nchi za mataifa mengine na kuwakabidhi mashamba ya wenyeji;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali ambayo wengine walikuwa wameitaabikia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapa nchi za mataifa, wakairithi kazi ya watu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapa nchi za mataifa mengine na kuwakabidhi mashamba ya wenyeji;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa vitu ambavyo wengine walikuwa wamevitaabikia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali wengine walikuwa wameitaabikia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawapa nchi za mataifa, wakairithi kazi ya watu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapa nchi za mataifa mengine na kuwakabidhi mashamba ya wenyeji;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi zao wamizimu ndizo, alizowapa, navyo, makabila mengine yalivyovisumbukia, wakavitwaa tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapa nchi za mataifa, wakairithi kazi ya watu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapa inchi za mataifa na kuwatolea mashamba ya wenyeji,