Psalms 105:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili wazishike amri zake, na kuzitii sheria zake. Haleluya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili wazishike amri zake, na kuzitii sheria zake. Haleluya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alitaka hili tu: Wayaangalie maongozi yake, nayo Maonyo yake wayashike. Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili wazishike amri zake, na kuzitii sheria zake. Haleluya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Haleluia!