Psalms 106:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Mshukuruni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ni mwema; fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Mshukuruni BWANA, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Mshukuruni bwana, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haleluya! Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! Ya kuwa upole wake ni wa kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haleluia! Mumushukuru Yawe kwa sababu ni muzuri! Wema wake unadumu milele!