Psalms 106:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaokoa mikononi mwa waliowachukia; aliwaokoa kutoka kwa nguvu za maadui zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwaokoa mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaokoa na mkono wa mtu aliyewachukia, Na kuwakomboa na mkono wa adui zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaokoa mikononi mwa waliowachukia; aliwaokoa kutoka kwa nguvu za maadui zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwaokoa kutoka mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwaokoa mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaokoa na mkono wa mtu adui, aliyewachukia, Na kuwakomboa na mkono wa adui zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaokoa mikononi mwa waliowachukia; aliwaokoa kutoka kwa nguvu za maadui zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaokoa mikononi mwao waliowachukia, akawakomboa mikononi mwao waliokuwa adui zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaokoa na mkono wa mtu aliyewachukia, Na kuwakomboa na mkono wa adui zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaokoa katika mikono ya waliowachukia; aliwaokoa kutoka nguvu za waadui zao.