Psalms 106:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mara walisahau matendo yake, wakaacha kutegemea shauri lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini walisahau upesi aliyowatendea, wala hawakungojea ushauri wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakayasahau matendo yake kwa haraka, Hawakulingojea shauri lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mara walisahau matendo yake, wakaacha kutegemea shauri lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mara walisahau aliyowatendea, wala hawakungojea shauri lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mara walisahau aliyowatendea, wala hawakungojea shauri lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini punde wakayasahau matendo yake, Wakakosa kungojea ushauri wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mara walisahau matendo yake, wakaacha kutegemea shauri lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upesi sana wakayasahau matendo yake, aliyoyataka kuwaeleza hawakuyangojea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakayasahau matendo yake kwa haraka, Hawakulingojea shauri lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini bila kukawia walisahau matendo yake, wakaacha kutegemea shauri lake.