Psalms 106:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kule kambini walimwonea wivu Mose, na Aroni mtumishi mtakatifu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kambini walimwonea wivu Musa, na pia Haruni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamhusudu Musa matuoni, Na Haruni, mtakatifu wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kule kambini walimwonea wivu Mose, na Aroni mtumishi mtakatifu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kambini waliwaonea wivu Mose na Aroni, ambaye alikuwa amewekwa wakfu kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kambini walimwonea wivu Musa, na pia Haruni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamhusudu Musa kambini, Na Haruni, mtakatifu wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kule kambini walimwonea wivu Mose, na Aroni mtumishi mtakatifu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakamwonea Mose wivu hapo, walipopanga, hata Haroni aliyekuwa mtakatifu wake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamhusudu Musa matuoni, Na Haruni, mtakatifu wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule katika kambi walimwonea Musa wivu, na Haruni, mutumishi mutakatifu wa Yawe.