Psalms 106:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo ardhi ikafunguka ikammeza Dathani, na kumzika Abiramu na kundi lake lote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi ikapasuka ikammeza Dathani, Ikaufunika mkutano wa Abiramu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo ardhi ikafunguka ikammeza Dathani, na kumzika Abiramu na kundi lake lote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi ikapasuka ikammeza Dathani, Ikaufunika mkutano wa Abiramu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo ardhi ikafunguka ikammeza Dathani, na kumzika Abiramu na kundi lake lote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ikaasama, ikammeza Datani, ikawafunika nao akina Abiramu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi ikapasuka ikammeza Dathani, Ikaufunika mkutano wa Abiramu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu udongo ukafunguka ukamumeza Datani, na kumuzika Abiramu na kundi lake lote;