Psalms 106:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitengeneza ndama wa dhahabu kule Horebu, wakaiabudu sanamu hiyo ya kusubu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Horebu walitengeneza ndama, na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walifanya ndama huko Horebu, Wakaisujudia sanamu ya kuyeyuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitengeneza ndama wa dhahabu kule Horebu, wakaiabudu sanamu hiyo ya kusubu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Horebu walitengeneza ndama na kuabudu sanamu ya kusubu kutoka kwenye dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Horebu walitengeneza ndama, na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walifanya ndama huko Horebu, Wakaisujudia sanamu ya kusubu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitengeneza ndama wa dhahabu kule Horebu, wakaiabudu sanamu hiyo ya kusubu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakafanya ndama kule Horebu, wakakitambikia hicho kinyago.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walifanya ndama huko Horebu, Wakaisujudia sanamu ya kuyeyuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitengeneza mwana-ngombe wa zahabu kule Horebu, wakaabudu sanamu hiyo ya chuma;