Psalms 106:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu? Ni nani awezaye kumsifu kama anavyostahili?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Mwenyezi Mungu au kutangaza kikamilifu sifa zake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana, Kuzihubiri sifa zake zote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu? Ni nani awezaye kumsifu kama anavyostahili?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya BWANA au kutangaza kikamilifu sifa zake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya bwana au kutangaza kikamilifu sifa zake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya BWANA, Au kuzihubiri sifa zake zote?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu? Ni nani awezaye kumsifu kama anavyostahili?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayemaliza kuyasimulia matendo ya nguvu ya Bwana? Yuko nani tena atakayeyatanganza matukuzo yake yote?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya BWANA, Kuzihubiri sifa zake zote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani anayeweza kutaja matendo ya Yawe? Ni nani anayeweza kumusifu kama anavyostahili?